N° 28
SAUTI YA MUTU MMOJA IKASEMEWA JANGWANI
1.
Sauti ya mutu mmoja ikasemewa jangwani (tengeneze) tengenezeni njia ya
Yesu, Mwana wa Mungu wa uweza (X2)
Refrain
(Tengenezeni wote ee) njia ya Bwana Yesu (X2)
(Wajoli angu) vunjeni milima yote, jazeni mabonde yote, nyosheni
mapito yake, salama njiani pote (X2)
3.
Yoane alimubatiza Mwana Mungu wa uweza “(sauti) sauti ikatoka mbingu uyu
ndiye Mwana wangu”(X2)
4.
Yoane alikuwa alikuwa amevaa singa za ngaamia “(na mushipi) na mushipi
kiunoni mwake akala nzige na asali (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand