N° 29
BASI NITASEMA NINI KWA MUNGU WANGU
Refrain
Basi nitasema nini kwa Mungu wangu namusii muumbaji wangu “ ee Roho shuka
uduma zitimilike, ee Roho shuka na mimi nipumuzike”.
2.
Muumbaji wangu tazama , wote uliyo nipa , sikupoteza ata moja ila mwana wa
kuasi (ee Baba) sikupoteza ata moja ila mwana wa kuasi
3.
Kumbuka taabu yangu (mimi) katika uduma huwo (ee Baba) sikupenda kujiinua
kwa ajili ya Jina lako (Mufalme) sikupenda kujiinua kwa ajili ya Jina lako.
Commentaire :
Walinita mulozi, sikupenda kujiinua kwa ajili ya Jina, waliniita muchawi,
sikupenda kujiijnua kwa ajili ya Jina lako, eti chako ni change, sikupenda
kujiinua kwa ajili ya Jina lako, …
4.
Babangu unitukuze kwa utukufu ulio kuwa nayo ili nawe utukuzwe ndani ya
awa uliyo nipa (ee Baba)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand