MASWALI YOTE YA DUNIANI — Cantiques EUJC

N° 30

MASWALI YOTE YA DUNIANI

1.

Maswali yote ya duniani ya ukumiwa kwa matendo yao “uzuni ni nayo sile

wala sinywe moyoni mwangu munayo sikitiko

Refrain

Yoyoyo mateso yoyoyo mateso moyoni mwangu yani uzinisha,

Ningeli fahamu kweli mimi singel izaliwa, ah ningelifariki tumboni mwa mama

yangu ili nisione mateso ya duniani iyi. (X2)

3.

Wakati mimi nilipo zaliwa wazazi wangu na watu wengineo “walifurai na

wakanywa pombe leo iyi watu awa wameuzunika”

4.

Nikalaaniwa kwa siku zile nilipo zaliwa tumboni mwa mama yangu, na maziwa

ya mama yangu yalikuwapo kwa mimi ku nyonya, “giza ikawa inchini pote

kwa siku zile nilipo zaliwa”