HUMO NJIANI MWA BWANA — Cantiques EUJC

N° 31

HUMO NJIANI MWA BWANA

1.

Humo njiani mwa Bwana muna visiki na magogo “vinavyo angusha wengi ili

wasifike uku mwisho” (X2)

Refrain

Kweli Jehova Mungu usiniache yoyoyo usiniachilie Bwana

Kimbilio langu usiniache yoyoyo usiniachilie Bwana

Baba katika mateso usiniache yoyoyo usiniachilie Bwana

Tumaini langu usiniache yoyoyo usiniachilie Bwana

3.

Ngurumo uvuma uja juu yangu mimi munaziri wa M ungu yoyoyo « bahari

nayo unigarikisha mimi napotea » (X2)