NENO LA JEHOVA LILIKUJA KWAKE YONA — Cantiques EUJC

N° 32

NENO LA JEHOVA LILIKUJA KWAKE YONA

1.

Neno la Jehova lilikuja kwake Yona ku nena ivi mabaya ya watu yamefika

machoni pangu « nani wangu awambiyeyo kwa kujitengeneza »(X2)

Refrain

Wakafiri watu awa wapig a kura, kura ukapata muhubiri wa Mungu yoyoyo Kura

ikapata muhubiri wa Mungu

Kura ya Yona kura ikapata muhubiri wa Mungu yoyoyo kura ikapata

muhubiri

3.

Bahada wakamuuliza sisi tukufanyie nini « kwa habari iyi kubwa inatujia »

« nani wangu awambiayo kwa kujitengeneza » (X2)

4.

Munikamate munitupe mu maji (X2) « ivi vyote vitaka kuja ni kwa ajili

yangu » « nani wangu awambiayo kwa kujitengeneza » (X2)