ISAKA MUTU MUKONGWE — Cantiques EUJC

N° 34

ISAKA MUTU MUKONGWE

1.

Isaka mutu mukongwe macho ikapofuka akaomba mwanaye Esau nyama yenyi

kunona amuongezee furaha (X2)

Refrain

Kweli Yakobo wangu nenda uchukuwe mwana mbuzi uje upokee Baraka

Baraka mu Neno nenda uchukuwe mwana mbuzi uje upokee Baraka

Kweli Yakobo wangu ee nenda uchukuwe mwana mbuzi uje upokee Baraka

Usikawe njiani nenda uchukuwe mwana mbuzi uje upokee

Baraka

Baraka mu Neno nenda uchukuwe mwana mbuzi uje upokee Baraka

3.

Rebeka akatayaris ha wana mbuzi wawili akampa Yakobo amupelekeye Isaka

amuongezee furaha (X2).

4.

Esau akachukizwa akalia akaomboleza juu yangu nitauwa Yakobo ameni

nyanganya furaha (X2).