N° 37
SAMSONI NGUVU ZA MUNGU
1.
Samsoni nguvu za Mungu akapenda binti za wafil istina « (wake awa) wasaliti
na wafia feza » (X2).
Refrain
« Delila akamwambia Samsoni wafilistini juu yako » « nguvu zikamuacha
Samsoni naye akashikwa » (X2).
3.
Wafilistini wakajua siri zake na siri za unaziri zake « (yoyoyo) musingelima na
ngombe zangu amunge jua siri zangu » (X2)
4.
(Enyi watu wa nongo) musingelima na ngombe zangu amunguja siri zangu ;
5.
(Enyi wafilistini) musingelima na ngombe zangu amungejua siri zangu.
6.
Yesu wa Mungu alikuja kututosha utumwani akuwa na kosa yoyoyo
“Muhukumu wa haki kashitakiwa mbele ya Kaizari (mwana wa Mungu) na
kusingiziwa mambo ya uwongo na waliyo wake (yeye)” “akiwa mushindi hata
kufa yeye yu hai na milele daima” (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand