SHETANI UVUTA YESU — Cantiques EUJC

N° 38

SHETANI UVUTA YESU

1.

Shetani uvuta Yesu uvuta ewe itaji unapo enda (X2)

Refrain

(Bwana Mungu) mimi ni mikosefu duniani Bwana wangu Bwana wangu

unirehemu (X2)

3.

Wengi, wanaupendeleo kwa wajoli wao, Bwana wangu unirehemu (X2)

4.

(Sina), haja na marafiki wa ulimwengu Bwana wangu unirehemu (X2)

5.

(Mara) marafiki wema ni malaika wa mbinguni Bwana wangu unirehemu (X2).