TWAKUALIKA JEHOVA MUNGU WANGU — Cantiques EUJC

N° 4

TWAKUALIKA JEHOVA MUNGU WANGU

1.

Twakualika Jehova Mungu wangu, usiwe mbali uwe nami (X2)

Mimi ni mwalike nani, Mufalume wangu njooni (kwa leo) maadui wasinizuru

(X2)

2.

Twakualika Masiya Yesu Mwana, usiwe mbali uwe nami (X2)

Mimi ni mwalike nani, Mukombozi wangu njo oni (kwa leo) maadui wasinizuru

(X2)

3.

Twakualika sikia Roho Mwema, usiwe mbali uwe nami (X2)

Mimi ni mwalike nani, Mufariji wangu njooni (kwa leo) maadui wasinizuru

(X2)