N° 42
ABRAHAMU ALIKUWA MWANA WA MTU MKAIDI
1.
Abrahamu alikuwa mwana wa mtu mkaidi (X2) (yoyoyo) “mk aidi kweli mkaidi
tangu awali”
Yoyoyo “Bwana akapenda Abrahamu kamutowa nyumbani mwa baba ye” aka
mutowa ili wote wafanye uduma nzuri” (X2)
Refrain
(Wajoli) uduma uduma wa Baba uduma uko miongoni mwetu (X2)
“(uduma za Bwana) uduma uko miongoni mwetu twajizuiza kuitimiza”(X2)
3.
Bwana akamwambia Abrahamu mwanangu (X2) “toka wewe katika inchi yako
toka wewe nyumbani mwa baba yako” “nitakufanya wewe kuwa baba wa mataifa
nawe uwe Baraka”(X2).
4.
Njaa kuingia inchini Abrahamu kashuka na m uke wake Sarai kushukia Misri
yoyoyo na mke wake Sarai kushukia Misri “wewe ni mke mzuri sana wamisri wa
siniuwe” “uwe dadangu yoyoyo ewe mke wangu mimi nisije nikafa yoyoyo n a
wamisri hawa” (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand