MUNGU AKATUMA WATU KWENYE IBRAHIMU — Cantiques EUJC

N° 43

MUNGU AKATUMA WATU KWENYE IBRAHIMU

1.

Mungu akatuma watu kwenye Ibrahimu mukamuharifu Sara atazaa (X2)

Refrain

Sara kacheka eyi, eyi, hehe!! Mungu wangu mimi niko mukongwe Mungu nitazaa

je (Mufalme wangu) mimi niko mukongwe Mungu nitazaa je.

3.

Hapo Sara alipo baki akachuwa mimba aliporejea Jehova Sara akazaa (X2)

4.

Hii ni nguvu ya Mungu kuwaonesha watu kwa mke huyu mukongwe akazaa

mwana (X2).