TWIMBENI SHANGWE — Cantiques EUJC

N° 45

TWIMBENI SHANGWE

1.

Twimbeni shangwe kwa mutawala na Bwana « yeye mufariji wetu utukufu uwe

juu » hata Enoka mtu wa saba tangu Adamu alitabiri uweza wake « utukufu tele

na rehema nyingi tangu milele na kwa siku za Lutu » (X2).

Refrain

Enyi wajoli twagizwa twasita ee twarifu wakwe wetu twa kawia twashikwa kwaa

nguvu twatoshwa hata inje ya muji.

« Basi tuondoke haraka mujini tukimbiye tusiunguwe tusiangalie nyuma

tusisimane tukaketi milimani ».

Commentaire :

Baba ondoka haraka mujini

Mama ondoka haraka mujini

Kaka ondoka haraka mujini

3.

Watu wale wakamwambia Lutu ondoka hara ka twaharibu muji japo aliarifiu

wakwe we lakini walimuona mwenye ziakaaa, kumbe undoka mujini haraka

ukimbie « usiunguwe ushike njia hata milimani usiketi zowari ».

4.

« Jua lilikuwa limepanda juu ya inchi wakati Lutu alikuja kwa Zoari »

Halafu Baba akanyeshesha kibiriti na moto kutoka mbinguni

5.

Halafu Baba akanyeshesha kibiriti na moto mbinguni

6.

Kwa ajili ya uchawi eh ee ee

7.

Sodomo na Gomora eh ee ee

8.

Sodomo ikalungula eh ee ee

Halafu baba akanyeshesha kibiri na moto kutoka mbinguni.