N° 50
NIMESONGWA SAANA MUNGU WANGU NA MADUI AWA
Refrain
Nimesongwa saana Mungu wangu na ma adui awa (maadui hawa) (X2)
Mu neon lako nisemapo nimesongwa saana, kwa matendo yako ya uweza
nimeshutumiwa (X2)
2.
Uzuni na taabu Mungu wangu ni chakula “machozi kilio Mungu wangu ni kila
siku”(X2)
3.
Nialike nani Mungu wangu mu dunia yote « Pilato, Kaizari wamenitatiza, na
Yudas naye ni tayari kwa kunisaliti” (X2)
4.
Uduma huo Mungu wangu ni wa Mungu Baba achene Mwa na ndugu zangu
atukuze Baba, ili Baba naye atukuze Yesu Mwana wake (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand