N° 55
YUSUFU NDUGU YA BENYAMINA
1.
Yusufu ndugu ya Benyamina mwana wa Rakeli « alivikwa joo nzuri ya rangi
mbalimbali » (X2)
Refrain
Wakristo wapenzi tudumu ndani ya Neno, wakristo wapenzi tudumu ndani ya
Neno (Mungu wetu) atawapa kila mutu zawadi zake « (chuki) na wivu vimeleta aibu
na ziki ».
3.
Miongoni mwa wale tena shara wana wa vijakazi « walichikiya Yusufu kwa
kazi aliyo fanya » (X2)
4.
Tazama kwa wivu wao wengi kuchafua joo lake « wakamuuza Yusufu asiishi
na babaye » (X2)
5.
Baada ya kushinda majaribu ata ndani ya gerez a « Yusufu ni mufalme katika
inchi ya Misri »(X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand