N° 56
WAKATUPA DANIELI PANGONI MWA SIMBA
1.
Wakatupa Danieli pangoni mwa simba kwani alikuwa mufanya kazi wa Mungu
wa Uzima « kili siku kila siku mara tatu » chumba chake cha juu ma dirisha
uangalia mu Yerusalema (X2).
Refrain
Danieli Danieli wewe pangoni mwa simba (X2)
Tazama Danieli simba aikumula yoyoyo kwa jina la mufalme
Tazama kerubi kerubi la mufalme kafunga ee simba
3.
Ili ni neno la mufalme Dario, Mungu wa Danieli aimidiwe, musiwe miungu
mingine inchini mwangu, kwani Mungu wa Danieli anauweza wote
« Atakuokowa pangoni mwa simba, atakuokowa mu mambo ya duniani » (X2)
4.
Wakija na jambo la duniani kwa wewe mujoli (X2) « (basi wewe) ujuwe Neno
la Mungu unalo » (X2)
Litakuokowa pangoni mwa simba, Neno la Bwana litakuo kowa mu mambo ya
duniani (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand