N° 57
WEWE ULIYE MUPOTEVU KUMBUKA UNAYO TENDA
1.
Wewe uliye mupotevu kumbuka unayo tend a ukiwa mwenye kujiuliza ndani
yako mwenyewe (X2)
Refrain
Ujiulize, ujiulize mujoli (X2) kama yite unayo tenda ya pendeza Mwenyezi wa
uzima kama yote unayo tenda ya pendeza Mwenyezi wa uzima (X2)
3.
Mbele ya kutenda jambo ni vizuri kujiuliza usiuwe manabii waliyo ndani yako
(X2).
4.
Yule mwana mupotevu akaanza kujiuliza kasha kupoteza mali akaomba toba
lake, kasha kupoteza mali akaomba toba lake (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand