N° 59
ALIKUWA MUTU YOANE
Alikuwa mtu Yoane alitumwa na Bwana kwa kuf anya kazi ya habari njema kwa
kutengeneza njia ya Yesu mwana wa Mungu, Herode akafunga Yoane kwani
alumwambia si vema uchukuwe mke wa ndugu yako, hekima ya duniani
usishirikiane nayo ni mauti.
Refrain
Ila kwa kucheza kwake Yoane yoyoyo, Yoane alafa
Kwa ajili ya Herode Yoane yoyoyo, Yoane alafa
Ila kula na kunywa Yoane yoyoyo, Yoane alafa
Yoane yuko gerezani habari ya Yesu ikamujia akatuma wafuasi ili wamuulize
Yesu naye akawajibu wafuasi mwende mumwambie Yoane, vipofu uona, viwete
kutelbea, wenye ukoma kutakaswan viziwi nao kusikia, wafu wamefufuliwa
kuarifu watu wengine Neno la Mungu.
Usitazale mujoli wako wapona kuarifu wewe, usiwe nawe Herode amekwisha
funga Yoane aliyetumwa na Mungu wa Uzima kwa kumutumikia yeye, tazama
rafiki yako ndie Yule balasto, usiishi nay eye kwa ajili ya chakula kerubi wa
Mufalume atakuharibu haraka vidudu vitakukula.