ANA ALIMULILIA MUNGU — Cantiques EUJC

N° 6

ANA ALIMULILIA MUNGU

1.

Ana alimulilia Mungu, (Ana eh) Ana alimulilia Mungu,

Mungu wangu unipe mutoto mimi nitakushukuru

Mungu muumbaji wangu unipe uzima mimi nitakuimidi

Wewe tegemeo langu, unipe tegemeo langu mimi nitakuudumia

Refrain

Ana kafunga chakula, kalilia Mungu, Ana akalilia Mungu eh

(Mungu wangu) unipe mutoto mimi nitakushukuru,

(Mungu muumbaji wangu) unipe uzima mimi nitakushukuru

(wewe tegemeo langu) unipe Roho wako mimi nitakuudumiwa.

3.

Eli kohani wa Mungu kamuuliza mbona umefunga uso wako, mbona umelewa

kwa muvinyo; mimi silewe kwa muvinyo nalilia Mungu eh, mimi nalilia

Mungu.

Mungu wangu unipe mutoto mimi nitakushukuru

Mungu muumbaji wangu unipe uzima mimi nitakuimidi

Wewe tegemeo langu, unipe tegemeo langu mimi nitakuudumia

4.

Sara alimulilia Mungu, Sara eh, Sara alimulilia Mungu.

Mungu wangu unipe mutoto mimi nitakushukuru

Mungu muumbaji wangu unipe uzima mimi nitakuimidi

Wewe tegemeo langu, unipe tegemeo langu mimi nitakuudumia