N° 60
SISI TU ASKARI WA YESU KRISTO
1.
(Sisi) sisi tu askar iwa Yesu Kristo twanena vitani ya habari njema Bwana
atufariji (X2)
Refrain
Basi vaeni silaha za vita z a habari njema eeh watu wamujue Yesu wa Mungu
nao wamuamini (X2)
3.
(Maadui), maadui wapo na maandishi ya uongo kwa kupotosha wafuasi wao
wahuni wasimuche Mungu (X2)
4.
(Tuombe), tuombe uweza kwa Jehova Mungu Baba atufarijo kama vile Israeli
zamani zile (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand