HUDUMA ZOTE ZA DUNIANI — Cantiques EUJC

N° 61

HUDUMA ZOTE ZA DUNIANI

1.

Huduma zote za duniani « (huduma) hazikose torati ndani yake ». Hivi Mungu

kamupatia Musa (Musa) sheria hizo nendeni munihudumie

Mungu akanena kwa sharia hizo nitazigawa yoyoyo sehemu hizi mbili :

« Umupenda Bwana Mungu kwa moyo wako wote

Umupenda jirani yako kwa nafsi yako yote ».

2.

Naomi naye akanena, Naomi naye akanena ewe Rutu wangu nimekwisha kuwa

mukongwe « rejeeni nyumbani mwa wazazi (mujoli wangu) »

Mimi sina na vya kukulisha rejeeni nyumbani mwa wazazi

Mimi sina na wanaume rejeeni nyumbani mwa wazazi

Mimi sina na vya kukuvika rejeeni nyumbani mwa wazazi

Mimi sina na A, ee rejeeni nyumbani mwa wazazi

3.

Rutu akaomboleza, Rutu akaomboleza ewe mamangu sita kuacha kamwe,

nitajilaza mahali ulalapo

Nitaketi mahali uketipo

Nitavaa chochote uvaacho

Mungu atatujalia chochote uombacho

Mungu wako aliye hai ni wangu pia, atatukirimia wokovu, atatupa uzima wa

milele.