N° 62
SIKUWA NAJUA MANENO YATAKAYO NIJIA
1.
Sikuwa najua maneno yatakayo nijia, mateso makubwa yaka nijia bila kujua ila
Mungu tumwim biye siku zote yeye anajua, « kwa kumaliza mateso yangu ila
kwa rehema » (X2)
Refrain
(Sita laumu) sita laumu mtu kamwe hata akiwa muovu sita regeza moyo
wangu na kuharibu uzima wangu, Mungu wa uzima nisikie ninapo kuomba Baba
muumbaji nisikie nisi aribike (X2).
3.
Sinayo furaha kwa mambo nilio nayo « uburudishe nafsi yangu Bwana wa
rehema » (X2)
4.
Tunayo hukumu kwani twapinga Bwana, sisi, tusimupinge Mungu wa uzima
kwa ajili ya taabu ni kwetu sisi, « na kuzifuata njia zingine, njia za mauti »
(X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand