TWASIMAMA MALANGONI — Cantiques EUJC

N° 63

TWASIMAMA MALANGONI

1.

Twasimama malangoni kungoja ndege wa mbingu « wajoli njooni Mufalme

ndiye ukualika » (X2)

Refrain

Tujitengeneze Baba yangu kilio kitakuwa na kusaga kwa meno wajoli, « wakati

ule yoyoyo kilio kitakuwa » (X2)

3.

Wenda ujifuraisha na shuguli za ulimwengu w ajoli, « wenda unena mimi simba

mujoli wao wa chui » (X2)

4.

Wenda unena, siwezi kumufuata Yesu wa Mungu utakapo fariki roho itaenda

wapi » (X2)