NIA ZA MWILI NA ZA ROHO — Cantiques EUJC

N° 64

NIA ZA MWILI NA ZA ROHO

1.

Nia za mwili na za Roho « ziko zinashindana kama vita » (X2)

Refrain

Uchague, uchague leo, chagua yako njia (X2)

Ewe mujoli, chagua yako njia ya wewe kwenda (X2)

3.

Nia za mwili ni ngumu sana upenda mateso upinga furaha « mwili

unitenganisha na Mungu wa uzima » (X2)

4.

Vita ya mambo haya ni ngumu saana (X2) siyo ya nyama na damu ya mwili

wetu, « ya mamlaka, ya wafalme wa ulimwengu » (X2)