NINAYO SAFARI YA KWENDA MBINGUNI — Cantiques EUJC

N° 65

NINAYO SAFARI YA KWENDA MBINGUNI

1.

Ninayo safari ya kwenda Mbinguni Mbinguni kwa Baba (X2)

Refrain

Njiani muna vikwazo vinavyo kwaza wengi visiki na magogo vinavyo angusha

wengi “ni nani awezaye kuviondoa vyote hakuna lwengine ila Yeshu mwokozi”

3.

Safari ni ndefu ya kwende Mbinguni Mbinguni na tena ni ngumu (X2)

4.

Ulevu, uzini, uwongo na chuki ni visiki na magogo (X2).