JEHOVA MUNGU NALIA BABA — Cantiques EUJC

N° 7

JEHOVA MUNGU NALIA BABA

1.

Jehova Mungu nalia Baba Muumbaji wangu ni wewe (X2)

(Baba tazama moyo), tazama moyo ufazaika na mambo ya dunia (X2)

2.

Yesu Mwana nalia Yesy Mukombozi wangu ni wewe (X2) “Yesu tazama

moyo, tazama moyo ufazaika na mambo ya dunia” (X2)

3.

Roho Mwema nalia Roho mufariji wangu ni wewe (X2) Roho taza ma moyo,

tazama moyo ufazaika na mambo ya dunia (X2)