N° 70
WALIPO AMINI WASAMARIA
1.
Walipoamini wasamaria kusikia Neno la Mungu wao akawatumia wa mitume
Petelo na Yoane, kuwaombea Mungu Baba wa pokee Roho Mwema walikuwa
wamebatizwa katika jina la Bwana Yesu (X2)
Refrain
Feza yako wende nayo, zahabu yako kufa nayo kupata kwa Roho Mwema si
katika mali kamwe (X2)
3.
Ewe rafiki katika Yesu ugeuze moyo wako acha kutenda zambi ujirike kwake
Yesu (X2)
4.
Na uk iwa na uchungu kama nyongo ya kifungo, kwa maovu ya dunia
wakuombee Mungu Baba (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand