N° 71
JAMBO LENYE KUTUNGWA NA BWANA
1.
Jambo lenye kutungwa na Bwana ndilo lifanyikalo lenye kutungwa na watu
halisimame imara (X2)
Refrain
Bwana uje uniongoze niende katika rah a, jambo lenye kutungwa na watu
halisimame imara (X2)
3.
Bwana alinena ukweli jambo mbovu uuwa moyo auwaye moyo auwa mtu yeye
atahukumiwa (X2)
4.
Mafalme zote za duniani, zitatawanyika kweli kweli bali ufalme wa Baba
Mungu hauwezi tawanyika (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand