KULIKUWA MUZEE MOJA JINA LAKE SIMEONI — Cantiques EUJC

N° 73

KULIKUWA MUZEE MOJA JINA LAKE SIMEONI

1.

Kulikuwa mzee moja jina Simeoni, alikuwa mtu mwenye miaka mingi saana

aliomba Mungu kwa kumiona Mwokozi, macho yake yaona Yesu ah ah macho

yake yaona Yesu (X2)

Refrain

Simeoni alilalamika saana alim ulilia Mungu yoyoyo, yoyoyo unichungiye

roho (X2)

Baba yangu unichungiye roho yangu yoyoyo unichungiye roho

Alilia unichungie roho yangu yoyoyo unichungie roho

Mpaka siku nita muona Mwana wa Mungu yoyoyo unichungieroho

(X2)

Alilia unichungie roho yangu yoyoyo unichungie roho

3.

Simeoni alibeba Yesu mikononi alimushukuru Baba wa mbinguni alelua furaha

jua yaangazia “macho yangu yaona Yesu ah ah” (X2)