N° 79
UJUZI NINAYO MIMI MUNAZIRI WA MUNGU
1.
Ujuzi ninayo mimi munaziri wa Mungu, Mungu akatuma Yesu wake ili atufie
« israeli utumwani mwa shetani kondoo iliyo potea » (X2)
Refrain
Muumbaji wangu sutarejea kamwe baba utumwani mwa shetani wokovu toka
uko juu mbinguni kwenye Mungu Baba (X2)
3.
Univalishe joho la uzima « nipakwe mafuta nawe Baba nienda kutazama
Yerusalema » (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand