KIWETE — Cantiques EUJC

N° 8

KIWETE

1.

Kiwete katika Yerusalema wafuasi wa Yesu wakamuponya Kiwete sasita

hekaluni (X2)

Refrain

(Kiwete yoyo) akaenda

(Kiwete) na shangwe

(Kiwete) akiruka akanena, alelua Bwana kweli nafarijiwa (X2)

3.

(Petro), Petro akamujibu mimi sina zahabu wala dollar ila kwa jina la Yesu

Bwana simama wenda zako (X2)

4.

Walio, waliomo mutao waliomuona kikwete, akiienda akiruka wakajaa

mushangao, wakistajabia (X2).