N° 82
BWANA MUNGU UPENDA
1.
Bwana Mungu upenda babangu, Bwana Munguhupenda kwa sisi tumuhudumie
yeye ili tupewe ujira “Bwana Mungu tumuhudumie yeye ili tupewe ujira” (X2).
Refrain
Tafakarini jina la Yesu mahali po te ili tupewe uweza wa kumuhukumia
yakituja majaribu sisi tusiwe na hofu “bali tutazame wote musalaba wake
Bwana Yesu” (X2).
3.
Bwana Mungu hupenda babangu Bwana Mungu hupenda kwa sisi
tumuhudumie kwa ajili ya kutafuta wengine “(wale wote) wangali katika
vifungo ili wapewe uhuru” (X2).
4.
Kazi hiyo ni ngumu, babangu kazi hiyo ni ngumbu sana mupo chui na simba
wote hawa ni wakali, (wale wote) wapo miongoni mwetu ili kwa kuharibu kazi,
wale wote wapo miongoni mwao ili kwa kuharibu kazi (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand