N° 85
KARIBUNI KARIBU NDUGU ZETU
1.
Karibuni karibu ndugu zetu, kutufikia Kanisa la Kristo amani ya Yesu iwe nanyi
karibuni karibu ndugu zetu (X2)
Refrain
Njooni wote, tumusifu Mwana kondoo wa Mungu alelua asifiwe ame tufikishia
wandugu (X2)
3.
Wandugu zetu tunafurahi sana, kutufikia Kanisa la Kristo, amani ya Yesu iwe
nanyi, karibuni karibu ndugu zetu (X2)
4.
Twaona kweli mwamupenda Mungu awabariki kwa kurudi kwenu, musimuache
kwa safari yenu, yeye ndie muchungaji mwema (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand