MWOKOZI WANGU MWANA WA MUNGU — Cantiques EUJC

N° 87

MWOKOZI WANGU MWANA WA MUNGU

1.

Mwokozi wangu Mwana wa Mungu, nakaribia naombolezo, unichunge vema

mwokozi wangu ili taabu yangu itakoma (X2)

Refrain

Alinena omba utapewa, alinena hitaji utaona, abishaye atafunguliwa kwenye

mulango wa muji wa Bwana.

3.

Naja na kilio Mwokozi wangu machozi yangu yamejirika wokovu wangu ni

kwako Bwana na shida yangu yote itakoma (X2)

4.

Nategemea Mwokozi wangu, kubali uwape aibu waasi wamenizihaki kwa ziki

zangu kwa jina lako vyote vitakoma (X2)