OLE DUNIA MAKAO YA YULE SHETANI — Cantiques EUJC

N° 9

OLE DUNIA MAKAO YA YULE SHETANI

1.

Ole dunia makao ya Yule shetani, ole dunia makao ya Yule shetani dunia ya

ziki na mambo mimi sitaishi dunia, dunia ya ziki na mambo mimi sitaishi dunia

(X2)

Refrain

Aj dunia yoyo, ah dunia yoyo sitaishi dunia mimi Mungu unifariji moyo huo,

dunia ya maombolezo sitaishi dunia:

Niwe na mabawa dunia ya mombolezo sitaishi dunia

Nikamuone Baba dunia ua mombolezo sitaishi dunia

Baba wa mbinguni dunia ua mombolezo sitaishi dunia

Baba wa salama dunia ua mombolezo sitaishi dunia

3.

Nikitazama huko dunia mimi sione salama mateso na vilio yoyo mimi sitaishi

dunia, mateso na vilio yoyo mimi sitaishi dunia (X2)

4.

Mimi sitaketi duniani, dunia ya weny e mateso, mimi nitapaa mbinguni,

mbinguni ya wenye furaha wenye furaha wenye ukimya yoyoyo sitaishi dunia

(X2).