N° 9
TWAKUSHUKURU BWANA
1.
Twakushukuru Bwana, twakushukuru, twakushukuru Bwana wangu
twakushukuru (X2)
2.
Ukae nasi Bwana, ukae nasi ukae nasi Bwana wangu ukae nasi (X2)
3.
Yesu ni mwanga wangu mimi, Yesu ni mwanga, Yesu ni mwanga wangu mimi,
Yesu ni mwanga wangu (X2)
4.
Sitakuacha Bwana wangu, sitakuacha, sitakuacha Bwana wangu sitakuacha (X2)
5.
Hata mu mbingu Bwana, hata mu mbingu, hata mu mbingu Bwana wangu hata mu
mbingu (X2)
6.
Twimbe aleluya amen, aleluya, aleluya amen ee aleluya (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand