SHAMBA LA NABOTI — Cantiques EUJC

N° 90

SHAMBA LA NABOTI

1.

Shamba la Naboti Abu ameuwa nafsi yangu amepanda maboga nimefariki kwa

Bwana (X2)

Refrain

(Yakini, yakini) imani yako ndio wanayo yipiganisha mtu akiharibu imani

yeye anabaki kituta

(Anabaki kituta mitambazi mu shamba) imani yako ndio wanayo yipiganisha

mtu akiharibu imani yeye anabaki tu tuta

Anabaki kituta kwa kukwaza wengine

Anabaki kituta ya kukula maboge

3.

Shamba la Naboti mujoli ficha zahabu yako utafariki damu yako mikononi

mwako (X2)

4.

Shamba la nNaboti Yezebeli amefarikisha Naboti amepigwa kwa ajili ya

shamba (X2)

5.

Shamba la Naboti wakamutumia Yezebeli habari leo Naboti amepigwa kwa

mawe (X2)