USEMI WA MUNGU NI NGUMU — Cantiques EUJC

N° 92

USEMI WA MUNGU NI NGUMU

1.

Usemi wa Mungu ni ngumu saana nani mtu asikiaye ginsi anenavyo, nani mtu

asikiaye ginsi anenavyo

2.

Mungu yunena 1 mtu sikia 3

3.

Mungu yunena 2 mtu sikia 6

4.

Mungu yunena A mtu sikia C

Refrain

Kwa kusikia ginsi Mungu anenavyo wajoli wangu twandokeni wote mwilini

twende rohoni « (Mungu) Mungu ni Roho tumuabudu katika roho » (X2)

6.

« Mungu ujirika namna nyingi nani ana bayana ya kuja kwa Jehova »

« Mungu yuja kwa ndoto mwana damu hupinga

Mungu yuja kama mtu yeye ona Shetani

Mungu yuja kwa jambo mtu ona ziki”

7.

Jehova bwa wetu akanena mimi ndimi mwanzo na mwisho, Mungu yuwanzia

wapi na yumalizia wapi

“Mungu yu 1, Mungu yu 9, Mungu ni Alfa, Mungu yu Omega, Mungu ni Neno,

Mungu ni Roho”