N° 94
SIKU INAKUJA
Siku inakuja, iko mbele yako (2X) angalia mujoli, utakuwa wa nani (2X)
« (Ee kweli siku ile) siku ya kutenganisha baba na mwana wake, (ee kweli siku
ile) siku ya kutenganisha mume na muke wake, (ee kweli siku ile) siku ya
kutenganisha mutu na mujoli wake » (2X).
Refrain
Mimi sielewe nifanye nini, dumia ina tatizo
Nisima bwima nifundishe Neno dunia ina tatizo
Ee baba, nifunge kikwembe nitukuze Mungu dunia ina tatizo
Niende kushoto niende kuume dunia ina tatizo
Eee baba yangu dunia ina tatizo
Eee mama yangu dunia ina tatizo, …
Iyo siku moj o, ya ishara ya Bwana (2X) upepo utajaa mahali pa chumba cha
juu, “na Roho atashuka vichwani mwa walio wake” (2X)
Furaha kwa wale, watakao shinda (2X) wao wataketi naye juu ya Kiti cha enzi
(2X) na utukufu wake Mwana Kondoo wa Mungu (2X).