ISRAELI KATIKA VITA — Cantiques EUJC

N° 96

ISRAELI KATIKA VITA

1.

Israeli katika vita (2X) ee miji imejiinua na watu wamejinuwa (2X)

Refrain

Enyi wanangu fanya vita na miji yote, imekujia kwa kukushinda shinda miji

shinda vita na utukufu uoneka (2X)

Commentaries:

Ionekane kwa Baba shinda miji shinda vita na utukufu uonekane

Na Kadima mu mbingu shinda miji shinda vita na utukufu uonekane

Na Mutindo wa Baba shinda miji shinda vita na utukufu uonekane

Na Philippe wa Mungu shinda miji shinda vita na utukufu uonekane

Vifaranga vya Baba shinda miji shinda vita na utukufu uonekane

Malimbuko ya kweli shinda miji shinda vita na utukufu uonekane, …

3.

Vita ivi si vya nyama na damu (2X) ni ufalme na ufalme vimeshindana kwa

nguvu (2X)

4.

MIMI YUBU NIMETESWA MWILINI (2ème version Yubu)

5.

Mimi Yubu, nimeteswa mwilin i (2X) nafsi yangu imeteswa saana sijue

nimuombe nani (2X)

Refrain

Nimeona ma ngombe wamenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)

Ee kanisa la mwili, wamenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)

Muke wangu nyumbani ee, amenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)

Ee marafiki wabaya ee, wamenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)

Mume wangu nyumbani ee, amenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)

Commentaires :

Kweli kweli, Mungu wangu muzima ee, ujitukuze watu awa wapate aya

(watu awa) na Kadima mu mbingu ee, ujitukuze watu awa wapate aya

Kweli kweli na Philippe wa Mungu ee, ujitukuze watu awa wapate aya

Na Milemba wa mama ee, ujitukuze watu awa wapate aya

Na mitume wa Mungu ee, ujitukuze watu awa wapate aya

Ee na Mutindo mu mbingu ee, ujitukuze watu awa wapate aya, …

7.

Muke wa Yubu, akamwambia Yubu (2X) (ee) Mungu gani umeomba wana

wako wamekwisha (ee) Mungu gani umeomba mali zako zimekwisha. (2X)

8.

Yubu nay eye akufazaika moyoni mwake, tumaini lake lote kwa Muumbaji wa

mbinguni (ee) tumaini lake lote kwa Muumbaji wa mbinguni. (2X)