N° 98
MIMI YUBU NIMETESWA MWILINI
1.
Mimi Yubu, nimeteswa mwilini (X2) « ewe Mungu muzima, uje leo unione »
(X2)
Refrain
Nimeona ma ngombe wamenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)
Ee kanisa la mwili, wamenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)
Muke wangu nyumbani ee, amenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)
Ee marafiki wabaya ee, wamenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)
Mume wangu nyumbani ee, amenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)
3.
Mungu muzima, mwili umeteswa saana (X2), nafsi yangu imesongwa saana
sijue nimuombe (X2)
Refrain
Idem
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand