N° 99
MUNGU ILI NENO LAKO
Mungu ili Neno lako, ilitoka kwa sauti « (ee) nita tumikia Bwana maishani
mwangu mwote » (2X).
Refrain
Wa ndugu tukishinda, Bwana ata tuvika taji, taji lake la ujizima (2X)
Tuache ulozi, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kuombea watu, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kufanya faraja, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kufundisha Neno, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kulala mu kazi, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kupiga na ngoma, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kupiga mukwasa, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima, …
Malaika Lusifero (Lusifero) alikuwa mwema saana, naye nyota ya asubui
Bwana si alimutapika (ee) naye nyota ya asubui Bwana si alimutapika.
Ndugu wangu wa dunia (wa dunia) awajue Neno ili « (Eh) Neno lako la uzima
nilipewa kwa neema » (2X).
Refrain
Idem